UREMBO: tazama picha 22 Misuko mikali ya yebo yebo


Wanawake wengi wa kiafrica hupenda kusuka nywele mitindo mbalimbali lakini wengi wao sikuhizi hupenda kusuka mtindo ujulikanao kwa jina la yeboyebo ,mtindo huu hutumia rasta zaidi ili kuweza kuwa na mvuto .

Tazama picha mbalimbali za misuko ya yeboyebo na utaona upi unaokufaa kuendana na kichwa chako

22158984_135576133753583_1751620120100208640_n.jpg
Mtindo huu husukwa sana na watu wote kwa kuwa umeonekana hauna madhara kwa mtu yeyote wakiwemo wadada,wamama, pamoja na watoto
13725472_1463841516974596_607887565_n.jpg
Msusi wa yeboyebo hutumia masaa mawili au moja na nusu kuweza kummaliza mteja wake kwani kuna baadhi ya misuko mingine huchukua zaidi ya masaa manne kuweza kukamilika .
26870037_195986847813149_2086629566348001280_n.jpg
Yeboyebo imeonenekana kushika chati kwa kwa kasi kwani wanawake wengi husuka msukohuo tofauti na misuko mingine .
17268093_1804199213233435_6921604307359891456_n.jpg 18160991_545518925836518_7026455067624472576_n.jpg

13636151_1713066892291443_900879230_n.jpg 13740979_1565308440432308_711158155_n.jpg

Image result for MISUKO YA YEBOYEBO

13671223_168134003592313_345583569_n.jpg 13687126_1617649935194094_2084521462_n.jpg 14052438_1762421117332023_1999396236_n.jpg

15538742_666807993444103_7234798343400980480_n.jpg

Image result for MISUKO YA YEBOYEBO

22158984_135576133753583_1751620120100208640_n.jpg

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YAKUBANA NYWELE HALISI, KUTENGENEZA MAWIMBI (NATURAL HAIR)

Misuko Mipya Ya Nywele Za Mkono 2022