75 BEST AFRICAN HAIRSTYLE "CHAGUA MTINDO MZURI WA NYWELE KWA AJILI YAKO"


Kama Una Nywele Asilia Mtindo Huu Unakufaa Hasa Kama Nywele Zako Ni Ndefu.



Zamani Nywele Hizi Zilisukwa Na Wanawake Wazee Lakini Kwa Wakati Huu Mtindo Huu Wa Nywele Umebamba Sana,Vilevile Ni Mtindo Ambao Unaweza Kwenda Nao Katika Location Tofauti Bila Hofu.


Mtindo Huu Unaweza Kusuka Kwa Kutumia Bunda Mbili Za Rasta Na Ukatoka Poa.


Mtindo Huu Ni Poa Kwa Kidada Hata Kimama Hasa Wale Wanaoogopa Mitindo Ya Kisasa Wakisema Ni Ya Vijana.



Pic Mbili Tu Za Bunda La Rasta Unayoweza Bei Yake Ina Kutosha Sana.



Mtindo Huu Unafaa Pia Kwa Bi.Harusi.


Mabutu Makubwa Huwa Haya Mtupi Mtu Ni Wewe Tu Na Pesa Yako Ya Rasta Cha Msingi Zingatia Rangi Ya Ngozi Yako Na Rasta Unazosukia,Rasta Nyeusi Zinafaa Kwa Kila Mtu.














Style Hii Ya Nywele Pia Unaweza Ibadilisha Ikawa Hivyo Ikiwa Ulisuka Njia Tatu Ndefu Kisha Unazikata Ili Kubadilisha Muonekano Wako.

































Comments

Popular posts from this blog

JINSI YAKUBANA NYWELE HALISI, KUTENGENEZA MAWIMBI (NATURAL HAIR)

UREMBO: tazama picha 22 Misuko mikali ya yebo yebo

Misuko Mipya Ya Nywele Za Mkono 2022