Kubana nywele kuna kazi haswa kwa wale wenye nywele nyingi, nitaeleza hatua kwa hatua jinsi ya kuzifanya ziwe na mwonekano mzuri na kubana kwa urahisi zaidi. kwanza, zichane nywele zote vizuri mpaka zilainike.Mbili,zigawe mara tatu yaani Kama unabana mabutu (funga na vibanio).Tatu,chukua fundo moja peleka nyuma au hata Kati inategemea na staili unayobana(nyuma,Kati au pembeni).Nne malizia na lile fungu la mwisho kisha zifunge kwa kibanio maalum cha nywele, waweza zungusha mkia au ukaacha hivyo hivyo inategemea utakavyopendelea mwenyewe.kwa wale ambao wangependa kutengeneza mawimbi hatua ya kwanza,chana nywele zako vizuri mpaka zinyooke na uzipake mafuta maalum kwa ajili ya nywele (ya maji au mgando). Pili,kata nywele katika mafungu madogo madogo na kuzisuka mabutu(njia tatu au mbili) ni muhimu kuweka rola kama ukizilowanisha kwa maji kidogoKama unavyoona pichani au usiweke.Tatu,kaa nazo kuanzia SAA moja na kuendelea(ili zikauke vizuri kwa waliotumia rola na maji kidogo) na kwa wa...
Wanawake wengi wa kiafrica hupenda kusuka nywele mitindo mbalimbali lakini wengi wao sikuhizi hupenda kusuka mtindo ujulikanao kwa jina la yeboyebo ,mtindo huu hutumia rasta zaidi ili kuweza kuwa na mvuto . Tazama picha mbalimbali za misuko ya yeboyebo na utaona upi unaokufaa kuendana na kichwa chako Mtindo huu husukwa sana na watu wote kwa kuwa umeonekana hauna madhara kwa mtu yeyote wakiwemo wadada,wamama, pamoja na watoto Msusi wa yeboyebo hutumia masaa mawili au moja na nusu kuweza kummaliza mteja wake kwani kuna baadhi ya misuko mingine huchukua zaidi ya masaa manne kuweza kukamilika . Yeboyebo imeonenekana kushika chati kwa kwa kasi kwani wanawake wengi husuka msukohuo tofauti na misuko mingine . [
know all details about Misuko mipya Ya Nywele za mkono,Mitindo ya nywele 2022, Mitindo ya nywele za mkono 2022, Mitindo ya nywele za uzi, Download mitindo ya nywele za mkono, Mitindo ya kubana nywele za mkono, Mitindo ya nywele 2022, Mitindo ya nywele za mkono 2022, Mitindo ya nywele yeboyebo,mitindo ya kubana nywele za mikono and mitindo ya nywele vitunguu Many African women style their hair in a variety of styles. It’s now easy to create stylish and trendy hairstyles with your long hair! All you need is a little creativity and our design ideas. Spice up your daily routine with these gorgeous hairstyles. We bring you four of our favorite African hairstyles for long hair. Misuko Ya Nywele Za Mikono | Hand hair style Square braids are the most popular protective hairstyle. They last at least 2 months and require no maintenance. This style works magically for women who want a funky long hairdo. Use the Darling Ajuba Long Braid and show off your thick braids. Experimenting with hair...
Comments
Post a Comment